Marais wa Tanzania na Uganda wamesisitiza azma yao yakiboresha zaidi ushirikiano kati ya nchi zao. Wamesema hayo kwenye uzinduzi rasmi wa kituo cha pamoja cha huduma za mpakani Mutukula.
Post a Comment