DEBORA MWENDA KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA DHIDI YA MMALAWI MARIAM DICK DISEMBA 26, 2025.
Akizungumza Mapema hii Leo Dar es Salaam Debora amesema,ni mara yake ya kwanza kupata pambano la kimataifa lakini anawahidi Watanzamia kuonesha mchezo mzuri na kuibuka na Ushindi wa kishindo.
Naye Mwalimu wa Bondia huyo Dickson Tembo amesema,Bondia wake anaendelea na mazoezi ya kibabe,hivyo Watanzania wajiandae kushangilia Ushindi wa kishindo siku hiyo.
Bondia Hassan Mwakinyo Ataipeperusha Bendera Ya Tanzania Huku Hamadi Furahisha akizichapa dhidi ya mmalawi Hanock Phiri,Ally Ngwando na Mussa Makuka,Kwaupande wa wanawake Debora Mwenda dhidi ya Mmalawi Mariam Dick Desemba 26,2025 Warehouse Masaki kwenye Pambano La Boxing On Boxing Day.

Post a Comment