WAZIRI MKUU AKAGUA UHARIBIFU WA MIZANI WA OKTOBA 29


Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 17,2025 amekagua uharibifu uliofanyika katika mizani ya magari iliyopo Mpemba, mkoani Songwe, uharibifu huo ulitokana  na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025.


Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Songwe kwa ziara ya kikazi.


No comments