HIVI NDIVYO JENGO LA KITUO CHA REDIO LILIVYOTEKETEA KWA MOTO MKOANI LINDI.
Na. Geofrey Jacka.
Picha.
Picha.
| Baadhi ya Wakazi wa Lindi Mjini wakishuhudia Moto ukiteketeza Jengo ilipo redio Mashujaa FM ya mkoani Humo. |
| Jengo zilimo ofisi za Jeshi la Magereza na kituo cha Redio Mashujaa FM likiendelea kuteketea kwa Moto. |
| Askari wa Jeshi la Magereza wakiwa mbele ya Gari la Zimamoto lililofika kwa shughuli za Kuzima moto. |
| Muonekano wa Jengo baada ya Kuungua kwa Moto. |
| Muonekano wa Jengo baada yakuungua kwa Moto. |
Post a Comment