KIONGOZI WA CHAMA CHA UPINZANI AAPISHWA KUWA NAIBU WAZIRI

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt, Avaline Wilbard Munisi (Mb) kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma Leo Mei 06,2026.










No comments