MAKAMU WA RAIS DKT PHILIP MPANGO AWASILI NCHINI KENYA KUSHIRIKI MAZISHI YA RAILA ODINGA
Mazishi ya Kitaifa ya marehemu Raila Odinga yanatarajiwa kufanyika katika Uwanja wa Nyayo Jijini Nairobi.
Makamu wa Rais ameambatana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Thabit Kombo.












Post a Comment