KOCHA JKT TANZANIA AWAPANGIA MPANGO MZITO SIMBA MECHI YA LIGI KUU
Kocha mkuu wa Jkt Tanzania Ahmad Ally amesema wamekuwa na siku nne za maandalizi baada ya kuwa na mapumziko lakini hali za wachezaji wanaendelea vizuri ikiwa le oni siku ya mwisho kuelekea katika mchezo dhidi ya Simba.
Amesema mipango yote inaendelea vizuri na anatarajia kuwa na mchezo mzuri na matokeo mazuri dhdi ya Simba.
Amesema anajua timu yake imekuwa ikiruhusu magoli lakini jambo hilo liko kwenye nafasi yake ya kuandaa mapango mzuri wakati wa kuzuia na wakati wa kushambulia ili kutengeneza makosa kwa mpinzani n ahata kutumia mkosa ya mpinzani ili kunufaika na makosa hayo
Post a Comment