YAKUBU SULEIMAN KUREJEA JKT TANZANIA, CAMARA BADO MAJERUHI

 

Golikipa wa simba Mousa Camara ataendele kuwa nje ya lango kutoka na majeraha yanayomkabili

Simba itakuosa huduma ya golikipa huyo namba moja kwenye kikosi chao katika mchezo wao wa kesho dhidi ya Jkt Tanzania jijini Dra es salaam.

Hivyo simba itaendelea kumtumia golikipa Yakubu Suleiman wakati wanapomkosa spiderman Pinpin Camara.

Kocha msadizi wa simba Suleiman Matola amesema hayo leo katika mkutano na waandishi wa Habari wakati akieleza maandalizi kiufundi kabla ya mchezo.

No comments