MAZOME WA MOROGORO AJIBU TAMBO ZA OSAMA WA MTWARA ULINGO UTAWAKA MOTO DESEMBA 26,2025 DSM.


Bondia Ally Mazome wa Chamwino Morogoro Amejitambo Za Mpinzani Wake Osama Arabi Kutoka Mtwara Kuelekea Pambano La Boxing On Boxing Day Desemba,26,2025 Warehouse Masaki Dar es salaam.

Akizungumza wakati Akiendelea na Hamasa Ya Pambano Lake Mkoani Morogoro Ally Mazome Amesema Mpinzani wake Anaongea Sana Ngumi Azitaki Maneno Zinahitaji Vitendo Asubirie Zawadi Ya Kipigo Cha mbwa koko atakachokipa kutoka kwake kwenye Pambano Hilo.


Kwaupande wa Mashabiki wa Bondia Huyo Wamesema Osama Arabi Amejitabiria Kipindo Katika Raundi Ya Tatu Ya Pambano Lao Hivyo Wanamorogoro wanakuja Dar es salaam  Wametumwa ushindi siku hiyo.

Bondia Hassan Mwakinyo Kuongozo Mabondia ulingoni  Huku Hamadi Furahisha akizichapa dhidi ya mmalawi Hanock Phiri,Ramadhan Mkwakwate dhidi Ya Ragan Pancho Kutoka Gongo,Hassan Ndonga Dhidi Ya Ismail Boyka,Ally Ngwando na Mussa Makuka,Issa Simba wa kahama dhidi ya Wilson Phiri Wa Malawi Kwaupande wa wanawake Debora Mwenda kuzichapa na Mmalawi Mariam Dick Desemba 26,2025 Warehouse Masaki kwenye Pambano La Boxing On Boxing Day.



No comments