MKUPATE ATUMA TAMBO ZA VITISHO LINDI,KUPANDA ULINGONI DESEMBA 26,2025 DAR ES SALAAM.



Bondia Mohamed Mkupate Kutoka Tabata Mtambani Ametamba na Tambo Za Vitisho dhidi ya Mpinzani wake Nasri zebro Wa Mkoani Lindi kuelekea Boxing On Boxing Day Desemba 26,2025 Warehouse Dar es salaam

Akizungumza  wakati Akiendelea na Maandalizi Yake Kuelekea Pambano Hilo Amesema Amemuandalia Kipigo cha Karibu Dar es salaam Huku akimtaadhalisha na kupikea kipigo kabla ya Raundi Kumalizika kwenye Pambano Hilo.


Kwa Uapnde wao Wadau na Mashabiki wa Bondia Huyo awesema Mpinzani wao anakuja Dar kutalii wamemuandalia kipigi cha aina yake huku wakiaahidi kumsindikiza Lindi  baada ya Pambano hilo.


Mapambano Makali kushuhudiwa na Watanzania Huku Bondia Hassan Mwakinyo Kuipeperusha Bendera Ya Tanzania Desemba 26,2025 Warehouse Masaki Dar es salaam.



No comments