WAZIRI WA FEDHA MPYA NA NAIBU MAWAZIRI WAFIKA TREASURY SQUARE

 


Waziri mpya wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akikabidhiwa Nyaraka ambazo ni miongozo mbalimbali ya  utendaji wa Wizara na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square jijini Dodoma. Mhe Balozi Omar aliambatana na Naibu Mawaziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb)na Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb).







No comments