HERSI USO KWA USO NA RAIS WA GIAN INFANTINO QATAR
𝐌𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐎 𝐖𝐀 𝐊𝐀𝐌𝐀𝐓𝐈 𝐘𝐀 𝐅𝐈𝐅𝐀. 𝐃𝐎𝐇𝐀, 𝐐𝐀𝐓𝐀𝐑
Rais wa Klabu ya Yanga, Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu(ACA) na Mjumbe wa kamati ya mashindano ya vilabu FIFA, Eng.Hersi Said kwenye picha ya pamoja na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino, Rais wa TFF Wallace Karia na Makamu Mwenyekiti wa ACA Jessica Motaung kwenye mkutano wa kwanza wa Kamati ya FIFA unaofanyika leo Doha, Qatar.
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

Post a Comment