MAGEREZA MBEYA KUTOA HUDUMA YA KUPELEKA MAHABUSU MAHAKAMANI

Jeshi la magereza mkoani Mbeya linatarajia kuanza zoezi la kupeleka Mahabusu Mahakamani kuanzia Januari, 2026.


Akizungumza katika semina kuhusu utekelezaji wa zoezi hilo, SACP toka Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Dodoma, aliwafundisha maafisa na askari wa Ruanda complex mada zinazohusu usafirishaji wa mahabusu kwenda mahakamani, huduma za mahabusu, udhibiti wa mahabusu gerezani, udhibiti wa mahabusu katika misafara, aliwataka maafisa na askari kufanya kazi kwa weledi na uaminifu.


Kwa upande wake Mkuu wa Mawasiliano na Usafirishaji, toka Makao Makuu ya Magereza SACP. Joel Gideon  amewataka maafisa na askari kuyatunza magari  maalumu yaliyotolewa na serikali, kwa ajiri ya kazi ya usafirishaji wa mahabusu.

No comments