POLISI ALIYEOMBA RUSHWA IRINGA AKATWA NA POLISI


Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limesema limemkamata na kumchukulia hatua Kali za kinidhamu, askari Polisi (WP. 8402 CPL. BIKUSEKELA) wa Kikosi cha Usalama barabarani Wilaya ya Mufindi, Kwa kitendo kibaya cha utovu wa nidhamu akiwa kwenye majukumu yake.


Jeshi la Polisi linakemea vikali kitendo hicho ambacho kimechafua taswira nzuri ya Jeshi la Polisi na Serikali kwaujumla.



No comments