Jeshi la Polisi Nchini limetoa taarifa kuwa limemkamata aliyewahi kuwa Mbunge na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji Mhe. Geofrey Mwambe, kwa tuhuma za jinai ambazo zinachunguzwa huku hatua zaidi za kisheria zikikamilishwa.
Post a Comment