SIMU MPYA ZA TESLA TISHIO KWA IPHONE

Kumekuwa na tetesi za kuzinduliwa kwa simu mpya za TESLA  chini ya Mkurugenzi Elon Musk, ambazo zinatajwa kuwa tishio Kwa ubora hivyo kuathiri soko la Iphone. Lakini ukweli ni kwamba hakuna mpango wowote wa kuzinduliwa kwa simu hizo bali ni mtazamo tu na hisia za watu wakitamani kitokee kitu cha namna hiyo.


Elon Musk mwenyewe amekunusha na kusema kuwa hana mpango wowote wa kutengeneza simu, ila endapo Google wataizuia application yake ya Tesla App, basi atazindua simu hizo haraka iwezekanavyo.

No comments