TAIFA STARS MZUKA MWINGI MISRI KUELEKEA AFCON MOROCCO

Wachezaji wa Timu ya Taifa wakiendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Hoteli ya Jewel, Misri kujiandaa na Fainali za AFCON 2025, Morocco.


Tayari mastaa wote wa timu hiyo ikiwemo wanaocheza nje ya Tanzania wameshawasili kambini hapo huku timu ikitarajiwa kuondoka Misri Desemba 18, 2025 kuelekea Morocco, tayari Kwa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Africa (AFCON)

No comments