VUTA NIKUVUTE MKWAKWATE NA MKONGO DESEMBA26,2025 DSM.
Bondia Ramadhan Mkwakwate a.k.a Sungu Mtata Kuzichapa Dhidi Ya Bondia mwenye Maguvu Regan Pacho Kutoka DRC kongo Desemba 26,2025 WareHouse Masaki Jijini Dar es salaam.
Akizungumza Wakati Akiendelea na Maandalizi Yake Chamanzi Dar es salaam Mkwakwate Amesema Amejiandaa asilimia mia Kuhakikisha Anaibuka na Ushindi Wa Kishindo Kwenye Pambano Hilo.
Kwaupande wao Wadau na Mashabiki Wa Mkwakwate Kutoka Chamanzi Wamesema Moja Ya Sifa Ya Wakongo Ni Kuimbo Mziki Wao Wamejipanga Kupigana Kuhakikisha Ushindi Unabaki na sio kuimba na kucheza Ulingoni Siku Hiyo.
Bondia Hassan Mwakinyo Kuongozo Mabondia ulingoni Huku Hamadi Furahisha akizichapa dhidi ya mmalawi Hanock Phiri,Ramadhan Mkwakwate dhidi Ya Ragan Pancho Kutoka Gongo,Hassan Ndonga Dhidi Ya Ismail Boyka,Ally Ngwando na Mussa Makuka,Issa Simba wa kahama dhidi ya Wilson Phiri Wa Malawi Kwaupande wa wanawake Debora Mwenda kuzichapa na Mmalawi Mariam Dick Desemba 26,2025 Warehouse Masaki kwenye Pambano La Boxing On Boxing Day.


Post a Comment