WATU ELFU 15 WAITWA KWENYE USAILI ZIMAMOTO
Kamishna Jenerali wa Zimamoto na Uokoaji, anawatangazia Vijana walioomba ajira ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kupitia mfumo wa ajira wa Jeshi hilo kuwa, usaili utafanyika kuanzia Desemba 15 - 20, 2025 kuanzia saa Moja Asubuhi kwa kila kundi.
Majina yapo kwenye tovuti yao au ingia kwenye ukurasa wao wa Instagram @zimamototanzania

Post a Comment