MWILI WA JENISTA UKIWASILI NYUMBANI KWAKE ITEGA
Mwili wa Marehemu Jenista Mhagama ukiwasili nyumbani kwake Itega Jijini Dodoma usiku wa Desemba 12, 2025.
Marehemu alikuwa Mbunge wa Peramiho kuanzia mwaka 2005 na amefariki dunia siku ya Alhamisi, Desemba 11, 2025 Jijini Dodoma, katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mazishi ya Marehemu Jenista Mhagama yatafanyika siku ya Jumanne Desemba 16, 2025, katika kijiji cha Ruanda, Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma.

Post a Comment