RAIS DKT SAMAIA AZINDUA MINARA 758, MAUNGANISHO YA MKONGO WA MAWASILIANO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Meza Kuu na Viongozi mbalimbali wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa Hafla ya Uzinduzi wa Minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na Makabidhiano ya Mkongo wa Mawasiliano Serikalini ukumbi wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma Leo Aprili 10,2026.








No comments