Leo Oktoba 7, 2026, Tayari Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewasili katika Mnada wa Upili wa Mifugo wa Pugu Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kukagua shughuli za mnada huo pamoja na kuzungumza na wadau wa mnada ikiwa ni pamoja na kupokea changamoto zao
Post a Comment