KOCHA MATOLA TUKO TAYARI KUWAKABILI JKT TANZANIA KESHO

 

Kocha Msaidizi wa simba sc Selemani Matola amesema kikosi chake kimejiandaa vizuri kuwakabili Jkt Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakao chezwa kesho katika uwanja wa Meja Issamuyoh jijini Dar es salaam

Matola amesema lengo lao katika mchezo hu oni kuhakikisha hawataruhusu kufungwa na kuhakikisha wao wanapata ushindi ili kuendelea kujiwekea mazingira mazuri kwenye msimamo wa ligi kuu.

Amesisitiza mchezo huo hautakuwa mwepesi kwani Jkt nit imu nzuri na imekuwa ikitoa ushindani mkubwa sana kwao.

No comments