PAPA AVUA VIATU AKIINGIA MSIKITINI UTURUKI

Papa Leo XIV amefanya ziara yake ya kwanza katika nyumba ya ibada ya Kiislamu Jumamosi Novemba 29, 2025,  akitembelea Msikiti wa kihistoria wa Sultan Ahmed mjini Istanbul, unaojulikana duniani kama Blue Mosque, katika ziara yake nchini Uturuki.

Msikiti huo ulijengwa mwaka 1617 chini ya utawala wa Sultan Ahmed I, na ni alama muhimu ya usanifu wa Kiislamu wa Kiosmani, ukiendelea kuwa kituo cha ibada kwa Waislamu wengi wa Istanbul.

No comments