WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAISI MHANDISI HAMADI MASAUNI AKUTANA NA VIONGOZI NA MENEJIMENTI YA OFISI HIYO



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akiongea na baadhi ya Viongozi pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kuwasili katika Ofisi hiyo. Kulia kwake ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Festo Dugange na Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Mhandisi. Cyprian Luhemeja.




Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja (aliyesimama) akiwakaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Festo Dugange (kulia) mara baada ya kuwasili ofisini, Novemba 18, 2025.

No comments