CHADEMA WAMTAKA MKUU WA MAGEREZA KUUELEZA UMMA KUHUSU KUSHIKILIWA KWA WANACHAMA WAO

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limetoa taarifa ya kusikitishwa kufuatia kukamatwa mwanachama wao Deogatius Pius Munishi, mkazi wa Mbezi Kibanda cha Mkaa, Jimbo la Kibamba, aliyekamatwa Tarehe 2 Novemba, 2025 na kupelekwa Moja kwa Moja gerezani bila ya kufikiahwa Mahakamani.


Kufuatia taarifa hiyo CHADEMA wamemtaka Kamishna wa Magereza Nchini kuueleza umma utaratibu upi ulitumika kuwapokea na kuwahifadhi Wananchi hao ambao hawakufikishwa Mahakamani.


No comments