HERSI KUFUNDISHA MFUMO WA MABADILIKO YA KLABU QATAR

Rais wa klabu ya Yanga Eng.Hersi Said amechaguliwa na Shirikisho la soka Duniani FIFA kufundisha mfumo wa mabadiliko ngazi ya klabu katika kongamano la Mpira wa Miguu Duniani.


Kongamano Hilo litafanyika kesho Disemba 14 nchini Qatar na Eng. Hersi ndiye mtaalamu pekee kutoka Afrika aliyepata nafasi katika kongamano Hilo.

No comments