Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipowasili katika Uwanja wa Ndege Mkoani Iringa ambapo anatarajiwa kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yatakayofanyika mkoani Njombe Leo Mei 1, 2026.
Post a Comment