MH MKUU WA WILAYA YA HAI - HASSAN BOMBOKO AMEENDELEA NA UTATUZI WA KERO MBALIMBALI ZA WANANCHI

 


 

“Tumejiwekea Utaratibu wa kusikiliza na kutatua kero za wanachi katika maeneo yote ya kata na vijiji vya wilaya ya Hai, Dhamira yetu ni kuhakikisha tunapeleka huduma zote za kijamii kwa umma, Tunalenga kumuondolea usumbufu mwananchi wa kuhangaika kuitafuta serikali akiwa na shida

 

Nitoe Rai kwa viongozi na watumishi wenzangu wa serikali kushughulikia kwa kutafuta ufumbuzi na majawabu ya shida za wananchi wetu” .-DC BOMBOKO











No comments