WAZIRI MKUU wa India, Narendra Modi, leo Desemba 25, 2025 alihudhuria ibada ya asubuhi ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Ukombozi huko Delhi. Ibada hiyo iliakisi ujumbe wa upendo, amani na huruma.
Narendra amesema roho ya Krismasi ihamasishe maelewano na nia njema katika jamii yetu.
Post a Comment